Monday, August 04, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MTUKUFU AGAHKAN IKULU DAR ES SALAAM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mwanzilishi na Mwenyekiti   wa Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani, His Higness Prince Karim Agakhan, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Agosti 3, 2014 kwa mazungumzo. Mtukufu Agakhan yupo nchini kwa ziara binafsi ya siku nne, ambapo pia atatumia fursa hiyo kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo ya Taasisi hiyo, ikiwa ni pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Agakhan ‘New Compass of Agakhan Univercity’ kinachojengwa jijini Arusha. Picha na OMR
 Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza
na Mwanzilishi na Mwenyekiti 
  wa Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani,
His Higness Prince Karim Agakhan, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini
Dar es Salaam, jana Agosti 3, 2014 kwa mazungumzo. 
 Kulia ni Mbunge Tabora Kaskazini, Shafin
Sumari. Mtukufu Agakhan yupo nchini kwa ziara binafsi ya siku nne, ambapo pia
atatumia fursa hiyo kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo ya Taasisi hiyo,
ikiwa ni pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Agakhan ‘New Compass
of Agakhan Univercity’ kinachojengwa jijini Arusha.

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...