Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA)
inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali
Venance Salvatory Mabeyo imeanza Vikao vya Bodi hiyo ngazi ya Kamati za
Kisekta kujadili utekelezaji wa Majukumu mbalimbali ya shirika kwa
kipindi cha miezi 6 iliyopita (Julai- Desemba 2025) mwaka wa Fedha
2025/2026
Tuesday, February 24, 2026
JENERALI VENANCE MABEYO AONGOZA KIKAO CHA BODI YA WAKURUGENZI NCAA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TRC YASAFIRISHA ABIRIA 5,512,995
Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilianza kutoa huduma ya usafirishaji abiria kutumia reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) mnamo mwezi Juni...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Pascal Mayalla akiwa katika chumba cha wagonjwa Daraja la kwanza katika hospitali ya mkoa wa Dodoma ambako amelazwa kwa matibabu baada ya ku...





No comments:
Post a Comment