Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia), Mkuu wa Brigedi ya Chui Brigedia Jenerali Sharif Othman(kushoto) pamoja na Maafisa na Askari wakishiriki zoezi la usafi katika kambi ya Lugalo, jijini Dar es Salaami wakati wa kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru kama alivyoagiza Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
DKT. NCHEMBA ASHIRIKI UZINDUZI WA HUDUMA ZA KIDIGITALI YA BENKI YA NBC
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), ameshiriki uzinduzi wa huduma za kidigitali za Benki ya NBC (NBC Kiganjani App) inayomwezes...

-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
(Picha na Yahya Charahani) Kwa wale waliokulia maeneo haya, hili ni jambo la kawaida ukitoka mjini, shambani sijui hadi wapi kote ni haya h...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
No comments:
Post a Comment