Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, inayoonyesha sehemu ya Utamaduni wa Tanzania, wakati alipomtembelea Nyumbani kwake, Mikocheni, Jijini Dar es salaam Disemba 14, 2015.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha yake rasmi kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, wakati alipomtembelea Nyumbani kwake, Mikocheni, Jijini Dar es salaam Disemba 14, 2015.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwa katiba mazungumza na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari pamoja na Msaidizi wake mpya, Bw. Ali Bagheni. Balozi huyo alifika nyumbani kwa Mzee Mwinyi kwa kumtambulisha Msaidizi wake huyo Mpya, leo Disemba 14, 2015.
No comments:
Post a Comment