Saturday, December 19, 2015

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATANGAZA MAJIMBO YA MASASI MJINI NA LUDEWA KUFANYA UCHAGUZI TAREHE 20 DESEMBA, 2015.


Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva akitangaza taarifa ya Upigaji kura kwa Majimbo ya Masasi Mjini na Jimbo la Ludewa siku ya tarehe 20 Desemba, 2015 mara alipokutana na Waandishi wa Habari leo 19 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa Tume uliopo Jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu
Damian Lubuva (kushoto) akifafanua kuhusu taarifa aliyoitoa iliyohusu Upigaji kura kwa Majimbo ya Masasi
Mjini na Jimbo la Ludewa siku ya tarehe 20 Desemba, 2015 mara
alipokutana na Waandishi wa Habari leo 19 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa
Tume uliopo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Uhcgauzi wa Tume hiyo Bwana
Kailima Ramadhani.

Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano huo wakifuatiliana taarifa ikiyotolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu
Damian Lubuva kuhusu Upigaji kura kwa Majimbo ya Masasi
Mjini na Jimbo la Ludewa siku ya tarehe 20 Desemba, 2015 mara
alipokutana na Waandishi wa Habari leo 19 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa
Tume uliopo Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu
Damian Lubuva (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi Bwana Kailima Ramadhani  wakijadili jambo mara baada ya kutolewa kwa tarifa ya Upigaji kura kwa Majimbo ya Masasi
Mjini na Jimbo la Ludewa siku ya tarehe 20 Desemba, 2015 mara
alipikutana na Waandishi wa Habari leo 19 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa
Tume uliopo Jijini Dar es Salaam.
 (Picha zote na Benedict Liwenga-Maelezo)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...