Tuesday, December 29, 2015

TIGO PESA YATOA ELIMU KWA MAWAKALA WAO ZANZIBAR

Mkurugenzi  wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na mawakala wa Tigo Pesa
walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi
ya  kuendesha huduma hiyo kwa wateja wao
mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa skuli ya sekondari ya Ben bella
Zanzibar
Mawakala wa Tigo Pesa Zanzibar wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Maofisa wa Tigo Pesa baada ya mkutano wao wa kutowa elimu ya uliofanyika katika viwanja vya Skuli ya BenBella Zanzibar.
Msimamizi wa Tigo Pesa Kanada ya Zanzibar Mubaraka akibadilishama mawazo na Mkurugenzi  wa Tigo Pesa Tito Magesho, baada ya mkutano wao na Mawakala wa Tigo Pesa Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Ben Bella Zanzibar. 
Mkurugenzi  wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na mawakala wa Tigo Pesa
walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi
ya  kuendesha huduma hiyo kwa wateja wao
mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa skuli ya sekondari ya Ben bella
Zanzibar
Mkurugenzi  wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na 
mawakala wa Tigo Pesa
walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi
ya  kuendesha huduma hiyo kwa wateja wao
mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa skuli ya sekondari ya Ben bella
Zanzibar
Afisa wa Tigo Pesa Kanda ya Zanzibar Mbaraka akizungumza na Mawakala wa Tigo Pesa Zanzibar wakati wa mkutano na Mawakala hao uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Ben Bella Zanzibar 
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot 
Zanzonews.com.
 
No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...