Monday, December 21, 2015

NAIBU WAZIRI WA HABARI AFANYA ZIARA KATIKA VITENGO VYA WIZARA HIYO

kol1
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura akipata maelezo juu ya mradi wa  jengo la kituo cha sanaa na utamaduni litakalojengwa Bagamoyo mkoani Pwani,kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).
kol3
: Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene akimuelezea Naibu Waziri Mh. Anastazia Wambura juu ya utendaji kazi wa Idara yake wakati wa ziara ya Naibu Waziri aliyoifanya Wizarani hapo kujionea utendaji kazi wa Idara ya habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.(Picha na Benjamin Sawe-WHSUM)
kol4
Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya lugha Bi Shani Kitogo kulia akimuelezea Naibu Waziri Mh. Anastazia Wambura juu ya utendaji kazi wa Idara hiyo wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo alipofanya ziara kukagua utendaji kazi wa Idara za Wizara hiyo.
kol2

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...