Friday, December 18, 2015

UN TANZANIA YAZINDUA RIPOTI YA TEKNOLOJIA NA UBUNIFU 2015, NCHI ZA AFRIKA HALI SI NZURI

IMG_8928
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez akizundua rasmi ripoti ya mwaka 2015 inayohusu Teknolojia na Ubunifu, ambayo imetolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la linaloshughulikia Biashara na Maendeleo (UNCTAD). Kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Utawala, Mipango na Fedha wa Chu cha Diplomasia, Bw. Bernard Achiula na kushoto ni Dkt. Bitrina Diyamett kutoea Taasisi ya Utafiti wa Sera ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (STIPRO).
IMG_8936
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez, Dkt. Bitrina Diyamett naBw. Bernard Achiula kwa pamoja wakionyesha ripoti hiyo kwa wageni waalikwa na wanahabari.
IMG_8864
Naibu Mkurugenzi wa Utawala, Mipango na Fedha wa Chu cha Diplomasia, Bw. Bernard Achiula akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa kabla ya kumkaribisha Mratibu Mkazi wa UN nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (hayupo pichani).
IMG_8872
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti ya mwaka 2015 inayohusu Teknolojia na Ubunifu, ambayo imetolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la linaloshughulikia Biashara na Maendeleo (UNCTAD).  
IMG_8832
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez (katikati) akiongozana na Naibu Mkurugenzi wa Utawala, Mipango na Fedha wa Chu cha Diplomasia, Bw. Bernard Achiula (suti nyeusi) mara baada ya kuwasili wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano wa Mozambique uliopo katika Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.(Picha naModewjiblog).

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...