Katika utekelezaji wa ahadi zake Mbunge wa jimbo la Mlalo Rashid Shangazi amekabidhi mabati 40 ya geji 28 kwa wanajimbo la Mlalo kwaajili ya kwa ajili ya jengo la Maabara shule ya Sekondari Mtae pamoja na Mifuko 10 ya sementi kwaajili ya kwa ajili ya ukarabati msikiti mkuu wa makose. Alikabidhi vitu hivyo mwishoni mwa wiki mkoani Tanga.
Wana Mlalo wakishusha Mifuko ya Sementi 10 kwa ajili ya ukarabati msikiti mkuu wa makose, kutoka kwenye gari pamoja na Mabati 40 kwa shule ya Mtae wishoni mwa wiki katika jimbo la Mlalo mkoani Tanga.
sambamba na hilo alikabidhi mifuko ya Sementi 30 kwa ajili ya kukarabati jengo la maabara shule ya sekondari kalmere na mifuko ya sementi 10 kwa ajili ya ukarabati msikiti mkuu wa makose,hii ni kupelekea kuhakikisha mlalo inasonga mbele katika maendeleo ya jamii.
2 comments:
yeezy shoes
golden goose outlet
curry 7 sour patch
moncler jackets
yeezys
vapormax
off white hoodie
nike air max
balenciaga shoes
curry 7
Get More Infowebpage my companynext page this pagehe has a good point
Post a Comment