Monday, December 21, 2015

MAJALIWA AKABIDHI JEZI NA MIPIRA

MJ1
Waziri kuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi seti moja ya jezi na mipira miwili nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya  Super Mark ya kijiji cha Nabgulugai wilayani Ruagwa, Paulo Joseph baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo Desemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MJ2
Waziri kuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi seti moja ya jezi na mipira miwili nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Super Mark ya kijiji cha Nabgulugai wilayani Ruagwa, Issa Ngele baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo Desemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MJ3
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye kijiji cha Narungombe wilayani  Ruangwa Desemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...