Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea na wadhamini kutoka kampuni mbalimbali waliodhamini Siku ya Msanii Duniani iliyofanyika hivi karibuni.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Sanaa Bi. Lear Kihimbi.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wa kwanza kushoto akimkabidhi Bwana Hamid Abdulrahman kutoka Channel Ten moja kati ya kampuni iliyodhamini siku ya msanii duniani
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wa kwanza kushoto akimkabidhi Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko kutoka Kampuni ya African Media Group Limited Bi Resty Ngonyani moja kati ya wadhamini wa siku ya msanii duniani.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa pili kutoka kushoto akimkabidhi Cheti moja ya wadhamini waliodhamini Siku ya Msanii Duniani kutoka Habari Corparation iliyofanyika hivi karibuni kutoka Habari Corporation
No comments:
Post a Comment