Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa zawadi ya shati la asili la Wamwera na Mzee Saidi Issa Hanga katika mkutano wa hadhara aliouhutubia mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na wazee wa Ruangwa kabla ya mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. (PIcha na Ofisi ysa Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha na kufurahia silaha za asili alizokabidhiwa na wazee wa Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini hapo Desemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokea zawadi ya rungu kutoka kwa Mzee Issa Juma Nangalapa ikiwa ni ishashara ya kumtaka awaadhibu wotw wanaokiuka sheria. Alikuwa katika mkutano wa hadhara aliouhutubia mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia moja kati ya zana na silaha za asili alizokabidhiwa na wazee wa Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini hapo Desemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment