Thursday, December 17, 2015

DAWASA YATAKIWA KUONGEZA IDADI YA WATEJA WA MAJI KUFIKIA MILIONI MOJA

MBA2
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa akipokea maua ikiwa ni ishara ya kumaribisha Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) ili aweze kuongea na Baraza la wafanyakazi wa mamlaka hiyo leo jijini Dar es salaam.

MBA1
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa akiongea na Baraza la wafanyakazi la Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA), (hawapo pichani) alipotembelea malaka hiyo leo jijini Dar es salaam ili kuhamasisha kuwahudumia wananchi kwa kumaliza kero ya maji inalowasumbua. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Isack Kamwela. 
MBA3
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa (kulia) akisalimiana na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) Laston Songole (kushoto) wakati akiwasili makao makuu ya mamla hiyo leo jijini Dar es salaam.
MBA5
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa akiongea na Baraza la wafanyakazi la Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) alipotembelea malaka hiyo leo jijini Dar es salaam ili kuhamasisha kuwahudumia wananchi kwa kumaliza kero ya maji inalowasumbua.

MBA8
. Mwanasheria wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) Neema Mugassa akiuliza sawali kwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa wakati wa baraza la wafanyakazi la DAWASA leo jijini Dar es salaam.
MBA6
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Isack Kamwela akisistiza jambo katika  Baraza la wafanyakazi la Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) alipotembelea malaka hiyo leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa.
MBA9
Baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) wakimsikiliza Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa wakati wa baraza la wafanyakazi la DAWASA leo jijini Dar es salaam.
MBA10
Baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) wakimsikiliza Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa wakati wa baraza la wafanyakazi la DAWASA leo jijini Dar es salaam.
(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...