![]() |
Wajumbe wa baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,wakiwa ukumbini hapo kabla ya kuapishwa. |
![]() |
Wagombea waliopitishwa na Chadema kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri na Makamu Mwenyekiti wakiwa katika ukumbi wa halmashauri hiyo. |
![]() |
Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo kabla ya kuapishwa. |
![]() |
Wajumbe wa baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,wakiapishwa kuwa madiwani rasmi. |
![]() |
Mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri hiyo,Moris Makoyi akiwa katika kikao cha kwanza cha baraza hilo. |
![]() |
Katibu tawala wilaya ya Moshi,Remida Ibrahim akiongoza zoezi la upigaji kura kwa ajili yakumpata Mwenyekiti na Makamu wake wa Halmashauri hiyo. |
![]() |
Mbunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia akiteta jambo na Diwani wa kata ya Kahe ,Rodrick Mmanyi wakati wa kikao cha baraza hilo. |
No comments:
Post a Comment