Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifungua pazia ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa kituo cha kuwafunzia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua na kazi mbali mbali za ujasiriamali katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A Unguja leo.
[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa kituo cha kuwafunzia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua na kazi mbali mbali za ujasiriamali katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A Unguja leo,(kulia) makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohamed,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa kituo cha kufundishia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua Bibi Meagan Garnahan wakati aliposawasili katika uzinduzi wa kituo hicho katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A Unguja leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Bw.Abdul Barwan Abdalla kuhusu ufugaji wa nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa wakati alipotembelea maonesho ya kazi mbali mbali za ujasiria mali kabla ya kukifungua kituo cha kuwafunzia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua na kazi mbali mbali za ujasiriamali katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A Unguja leo, Continue reading →
No comments:
Post a Comment