Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Rwanda jana
Taarifa zilizofikia mtandao wetu zinaeleza kwamba aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba amerejea nchini akitokea Rwanda jana ambako alidai kwamba amekwenda kufanya utafiti.
No comments:
Post a Comment