Friday, June 12, 2015

WAZIRI WA FEDHA, MHE. SAADA MKUYA AWASILISHA BAJETI KUU YA SERIKALI BUNGENI MJINI DODOMA

01
Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum Mkuya (Mb) akionyesha Begi la Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16 wakati anawasili katika Viwanja vya Bunge, Mjini Dodoma Juni 11,2015
02
Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum Mkuya (MB) akiwasilisha bungeni Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16, Mjini Dodoma.

No comments:

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI DODOMA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwin...