Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia mkono wananchi wa Mji wa Mpanda waliofika kwenye uwanja wa ndege kumpokea wakati alipowasili mjini hapo akitoka Dodoma Juni 14,2015.
Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu
Baadhi ya wananchi wa mji wa Mpanda waliojitokeza kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kumpokea Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipowasili kwenye uwanja huo akitoka Dodoma Juni 14, 2014.
No comments:
Post a Comment