Monday, June 15, 2015

PROFESA MARK MWANDOSYA AENDELEA KUSAKA WADHAMINI MKOANI KILIMANJARO


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama
akisalimiana na Waziri wa nchi,Ofisi ya Rais(Kazi Maalum) Prof,Mark Mwandosya mara baada ya kufika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaro wakati akiwa njiani kutafuta wadhamini.


Prof,Mwandosya akiteta jambo na RC Gama mara
baada ya kukutana.
Prof,Mark Mwandosya akisalimiana na Naibu
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi ,Angela Kairuki walipokutana katika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaro.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro akimpatia kipaza
sauti Prof Mwandosya asalimie wajumbe waliokuwa katika ukumbi huo.
Profesa Mwandosya akizungumza katika ukumbi huo.
Prof Mwandosya akitoka katika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaromara bada ya kusalimia.
Prof,Mwandosya akiagana na mkuu wamkoa wa
Kilimanjaro ,Leonidas Gama mara baada ya kusalimia .
Prof,Mark Mwandosya akiondoka ukumbini hapo
kuendelea na safari ya kusaka wadhamini mkoani Arusha.

Na Dixo Busagaga wa Globu ya Jamii
kanda ya Kaskazini.

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...