Saturday, June 13, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA MJI WA AVIC, ‘AVIC TOWN’ ULIOPO KIGAMBONI DAR ES SALAAM

1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Mki wa Avic, ‘Avic Town’, uliofanyika leo Juni 13, 2015 Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Picha zote na OMR
2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lyu Youqing (kulia), Makamu wa Rais wa ‘Avc International’, Dkt. Cheng Baozhong (kushoto) kwa pamoja wakikata utepe kuzindua ramsi Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Avoc ‘Avic Town’, uliozinduliwa leo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lyu Youqing (kulia), kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la Msingi la uzinduzi ramsi wa Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Avoc ‘Avic Town’, uliozinduliwa leo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lyu Youqing (kulia), Makamu wa Rais wa ‘Avc International’, Dkt. Cheng Baozhong (wa pili kushoto) kwa pamoja wakifurahia baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Avoc ‘Avic Town’, uliozinduliwa leo Kigamboni jijini Dar es Salaam
9
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu baada ya kuzindua ramsi Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Avic ‘Avic Town’ uliofanyika leo Juni 13, 2015, Kigamboni jijini Dar es Salaam.
10
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia mandhali ya jiko katika moja kati ya nyumba zilizojengwa katika eneo hilo, wakati alipokuwa akitembelea nyumba hizo baada ya uzinduzi rasmi wa Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Avic ‘Avic Town’ Kigamboni.
11
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea mradi huo kukagua mara baada ya kuuzindua leo Kigamboni.
12
5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika  picha ya pamoja na baadhi ya viongozi baada ya uzinduzi huo.

No comments:

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN UAPISHO WA RAIS WA MSUMBIJI

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa  zamani wa Msumbiji, Joaquim Chissano katika sherehe za kumwapisha Rais wa Msumbiji...