Mtemvu
akiitembelea Nyumba ya Bi Mwashamba Mwandoro maeneo ya Kurasini, baada
ya ukuta wa Nyumba kuanguka kutokana na Mvua zinazo endelea kunyesha
Dar es Salaam na hapo akiongea akiwa katika nyumba hiyo, katika msafara
huo aliongozana na Meya na Naibu Meya wa Temeke ,na Diwani wa maeneo
hayo.
Maji ya Mvua yakiwa yamezingira Nyumba maeneo ya Wailesi Temeke
Mjumbe
wa Shina kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) Juma Salum (wakwanza
kishoto) akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo hilo mara alipofika kuwaona
Mtaa mzima ukiwa umefurika maji maeneo ya Wailesi kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti
wa Serikali ya Mtaa Abdon Kidege, akimwelekeza jambo Mbunge wa Jimbo
hilo Abbas Mtemvu wakati wa ziara ya kutembelea na kuwaona wananchi
waliopatwa na mafuriko ya Mvua zinazo endelea kunyesha.
Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu akizungumza na wananchi walio patwa na mafuriko maeneo ya Wailesi alipo watembelea
Madereva
wa Magari ya Abiria yanayo fanya safari kati ya Tandika - Yombo
Kilakala kupitia Daraja la Tazara na Tandika kwa Limboa wakishirikiana
kujaza viroba vya mchanga na kuweka sehemu yamaeneo ya Barabara hiyo
ili waweze kupita kwa urahisi
Madereva hao wakiwa wanapakia mchanga kwa kuweka katika maeneo nkorofi ambayo yanasababishwa.
Magari mengine yalazimika kushushia katikati ya Daraja kitu ambacho ni hatari na wengine kupata nafasi ya kuosha Pikipiki zao
Zaidi ya wanafamilia 55 kuyakimbia makazi yao katika maeneo ya Yombo Kilakala kwa Bongotonyo, kutokana na Nyumba zao kujaamaji
Zaidi ya wanafamilia 55 kuyakimbia makazi yao katika maeneo ya Yombo
Kilakala kwa Bongotonyo, kutokana na Nyumba zao kujaamaji
Mbunge Mtemvu akiyapima maji kwa kuingia na kujionea
Mbunge Mtemvu akiyapima maji kwa kuingia na kujione
Mwenyekiti
wa Serikali ya Mtaa wa Yombo Relini Yusufu Marko (kulia) akimwelekeza
jambo wakati alipo fika katika maeneo hayo baada ya kuzunguuka maeneo
tofauti na Mbunge Abbas Mtemvu
Mbunge
wa Jimbo la Temeke na Mbunge wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas
Mtemvu (kulia) akiongozana na Meya wa Temeke Maabad Suleimani (kati) na
Naibu Meya wa Jimbo hilo Juma Mkenga wakati wa ziara ya kutembele
walio athirika na Mvua zinazoendelea kunyesha
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtevu akiyapima maji kwa kuingia katika
dimbwi lililokuwa limejaamaji na kumlazim kushuka katika Gari alilokuwa
amepanda na kumsaidia Dereva wa Gari lenye usajili T 526 DDR
lililonyuma ya Mbungehuyo kushindwa kupita na baada ya kufanyahivyo
dereva huyo alionyeshwa njia ya kupita na kuendelea na safari ni baada
ya mbunge huyo kuwa katika Ziara ya kuwatembelea waadhirika wa Mvua.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akimsaidia kumuelekeza Dereva wa
Gari T 526 DDR baada ya uonekana kusuasua na akiwa ana ziara ya kuwaona
waadhirika wa Mvua
.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment