Mratibu wa Jumuiya ya Vijana wasio na ajira Tanzania Nd. Ussi Said Suleiman akitoa maelezo kwa Baadhi ya Vijana wasio na ajira waliohudhuria katika Mkutano wa kuitambulisha Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Water front Hall Rahaleo Mjini Zanzibar.
Baadhi
ya Vijana waliohudhuria katika Mkutano wa kuitambulisha Jumuiya mpya ya
Vijana wasio na ajira Tanzania, wakimsikiliza Mratibu wa Jumuiya hiyo
Nd. Ussi Said Suleiman (hayupo pichani).
Mmoja wa Vijana wasio na ajira Zaituni Haji Mdigo akiuliza swali katika Mkutano huo.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment