Sunday, May 24, 2015

NGUMI ZA TPBC NA KINYOGOLI FONDITION ZILIVYOPIGWA


Mwenyekiti wa kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Chaurembo Palasa kushoto akimkabidhi mtoto Salim Mponda kifuta jasha ambacho kilitolewa na mashabiki wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala baada ya kuonesha shoo safi ya ngumi .

Bondia Omari Mwezi kushoto akipambana na Raymond Mbwago wakati wa mpambano uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala Dar es salaam Bwago alishinda kwa point.
Bondia Omari Mwezi kushoto akipambana na Raymond Mbwago wakati wa mpambano uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala Dar es salaam Bwago alishinda kwa point.
Bondia Raymond Bwago kutoka Super D Boxing Club iliyopo shule ya Uhuru akinyooshwa mkono juu na refarii Ally Bakari baada ya kumgalagaza Omari Mwezi katika mpambano wa raundi nne.
Chipkizi Salim Mponda akipiga ngumi ya kuingia ndani mwenzake Hemed Mrema wakati wa mpambano wa shoo uliofanyika katika ukumbi wa panandi panandi jumamosi.
Mwenyekiti wa kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Chaurembo Palasa kushoto akimkabidhi mtoto Salim Mponda kifuta jasha ambacho kilitolewa na mashabiki wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala baada ya kuonesha shoo safi ya ngumi.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...