Mwenyekiti
wa CCM Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu nakala za kanuni za
Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu kuzizindua rasmi wakati
wa Mkutano wa Kwanza wa Shirikisho hilo uliofanyika katika ukumbi wa
Kilimani mjiini Dodoma jana. Kulia ni katibu mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana,watatu kulia ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu
Philip Mangula na kushoto ni mlezi wa shirikisho hilo ambaye pia ni
Naibu Waziri wa Sayansi na Teknologia Ndugu January Makamba.
Rais Kikwete akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kwanza wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu mjini Dodoma.
Rais Kikwete akisalimiana na baadahi ya wanafunzi baada ya kufungua mkutano(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment