Thursday, May 07, 2015

Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yafanya ziara Shirika la Nyumba la Taifa

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki akizungumza kwenye makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakati Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira ilipotembelea makao makuu ya shirika hilo na kutembelea baadhi ya miradi ili kuweza kujionea maendeleo ya miradi ya Shirika hilo.
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Benedict Ole Nagoro  akizungumza kwenye makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakati Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira ilipotembelea makao makuu ya shirika hilo na kutembelea baadhi ya miradi ili kuweza kujionea maendeleo ya miradi ya Shirika hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu  akizungumzia utekelezaji wa mpango mkakati wa Shirika hilo, kwenye makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakati Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira ilipotembelea makao makuu ya shirika hilo na kutembelea baadhi ya miradi ili kuweza kujionea maendeleo ya miradi ya Shirika hilo.

Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu  akichangia jambo wakati Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira ilipotembelea makao makuu ya shirika hilo.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakifuatilia mjadala wakati kamati hiyo ilipotembelea makao makuu ya shirika hilo.
 Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu (Wa kwanza kulia) akichangia hoja wakati kamati hiyo ilipotembelea makao makuu ya shirika hilo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Mbunge wa Viti MaalumuSusan Kiwanga
 Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Benedict Ole Nagoro  akizungumza kwenye makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakati Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira. Katikati ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.
  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu  akizungumzia utekelezaji wa mpango mkakati wa Shirika hilo, kwenye makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakati Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira ilipotembelea makao makuu ya shirika hilo na kutembelea baadhi ya miradi ili kuweza kujionea maendeleo ya miradi ya Shirika hilo.
 Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakifuatilia mjadala wakati kamati hiyo ilipotembelea makao makuu ya shirika hilo.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakimsikiliza Mchechu wakati  wakati kamati hiyo ilipotembelea makao makuu ya shirika hilo.

 Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakimsikiliza Mheshimiwa Hamoud Abuu Jumaa, wakati  wakati kamati hiyo ilipotembelea makao makuu ya shirika hilo. 
 Wakiwa katika mradi wa Eco Residence wa NHC uliopo Hananasif Kinondoni, Dar es Salaam.
 Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakifuatilia mjadala wakati kamati hiyo ilipotembelea makao makuu ya shirika hilo.

No comments:

WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mheshimiwa  Fujii Hisayuki (kulia kwake) na ujumbe ...