Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akisoma taarifa ya
kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Nishati na Madini Eliakimu Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya
Escrow na ile ya tume ya uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na
utekelezaji wa operesheni tokomeza kwa waandishi wa habari (hawapo
pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia niMwandishi wa
Habari Msaidizi wa Rais Bi. Premi Kibanga.Picha zote na Eliphace Marwa –
MAELEZO
Baadhi
ya waandishi wa habari wakimfuatilia kwa makini Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Sefue wakati akisoma taarifa ya kukamilika kwa uchunguzi
dhidi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakimu
Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya Escrow na ile ya tume ya
uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni
tokomeza.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akisoma taarifa ya
kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Nishati na Madini Eliakimu Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya
Escrow na ile ya tume ya uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na
utekelezaji wa operesheni tokomeza mapema hii leo jijini Dar es Salaam ,
kulia ni Mwandishi wa Habari Msaidizi wa Rais Bi. Premi Kibanga.
No comments:
Post a Comment