Saturday, May 02, 2015

DR. SHEIN AZINDUA MFUKO WA UCHAGUZI MKOA MAGHARIBI KICHAMA.

mo1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda jana wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort,[Picha na Ikulu.]mo2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda(wa pili kushoto) Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi Vuai Nahodha(kushoto) Mama Mwanamwema Shein (kulia) na Mwenyekiti wa Mkoa wa Magharibi Yussuf Mohammed Yussuf wakiwa katika hafla ya  Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana,[Picha na Ikulu.]mo3Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort akiwepo Mke wa Mamako wa Pili wa Rais Mama Pili Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto),[Picha na Ikulu.]mo4Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea taarifa kutoka kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Magharibi Aziza Mapuri jana wakati wa Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana,[Picha na Ikulu.]mo5Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza Viongozi mbali na wanachama wa CCM na Wafanyabishara katika chakula cha jioni wakati wa Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort, [Picha na Ikulu.]mo6Kikundi cha Imarisha cha CCM MKoa Amani kikitoa burudani ya ngoma ya Tukulanga wakati wa 
Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein ,[Picha na Ikulu.]
mo7Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim shilingi Millioni Nne  kutoka kwa Waziri asiyekuwa na Wizara maalum na Mjumbe wa Halamashauri Kuu ya CCM NEC Machano Othman Said wakati wa Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort,[Picha na Ikulu.]mo8Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim shilingi Millioni Tano kutoka kwa Waziri wa Fedha Omar Yussuf na Mkewe wakati wa Uzinduziwa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort,[Picha na Ikulu.]

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...