Friday, October 10, 2014

WADAU WA VIJANA WASHIRIKI MDAHALO WIKI YA VIJANA TABORA

MD1Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Steven Kissui akizungumza katika mdahalo wa vijana leo mkoani Tabora ambapo mdahalo huo umefanyika ikiwa ni kuadhimisha Wiki ya Vijana ambayo kitaifa inafanyika mkoa ni hapa.
MD4aMD4bMD5aBaadhi ya Washirik iwa mdahalo wa Vijana katika kuadhimisha Wiki ya Vijana wakichangia mada katika mdahalo huo leo mkoani Tabora.

No comments:

UJUMBE WA MAAFISA KUTOKA CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA MISRI WATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA TANZANIA

Leo, tarehe 23/04/2026 Makumbusho ya Taifa la Tanzania imepokea ugeni maalum kutoka Chuo cha Kijeshi Misri (Egypt War College) walioko katik...