Thursday, April 03, 2014

ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU CHACHE KUFIKIA UCHAGUZI WAPINZANI WAZIDI KURUDI CCM CHALINZE


    Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia Mamia ya wakazi wa Kijiji cha Lugoba waliofurika kwenye uwanja wa Mnadani,kusikiliza sera ya Mgombea Ubunge huyo April 2,2014.
     Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Kijiji cha Lugoba na kuwaambia Ridhiwani ni kijana anayehifahamu vizuri Chalinze na changamoto zake .
     Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimnadi Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Lugoba.
     Mamia ya wakazi wa kijiji cha  Lugoba wakimsikiliza mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze CCM  Ndugu Ridhiwani Kikwete wakati wa mkutano wa kampeni.
     Mbunge wa Shinyanga Mjini Ndugu Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa madini akihutubia wakazi wa kijiji cha Lugoba wakati wa kampeni za ubunge CCM jimbo la Chalinze.

    No comments:

    WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

    Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...