Friday, April 25, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA TERMINAL 3 UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA J.K.NYERERE

23  Rais Jakaya Kikwete akikata utepe huku Balozi wa Uholanzi hapa nchini Mhe Jaap Frederiks na Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe wakiwa wameshikilia utepe huo wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa upanuzi wa Uwanja mkubwa wa ndege wa J.K.Nyerere Terminal 3 utakaoweza kuhudumia abiria milioni 7.500.000 kwa mwaka, Ujenzi huo umefadhiliwa na serikali ya Uholanzi na unatarajiwa kukamilika mwezi oktoba mwaka huu, kutoka kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge Miundo mbinu Peter Serukamba, Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo Profesa Juma Kapuya na Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya Ndege Injinia Suleiman Suleiman na kutoka kushoto ni Didas Masaburi Meya wa jiji la Dar es salaam, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Meck Sadik na Naibu waziri wa Uchukuzi Mh. Dr. Charles Tizeba (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)24Rais Jakaya Kikwete na  Balozi wa Uholanzi hapa nchini Mhe Jaap Frederiks wakifunua pazia huku  Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe katikati na viongozi wengine wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa uwanja huo.25Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali huku akiwa ameongozana na   Balozi wa Uholanzi hapa nchini Mhe Jaap Frederiks26Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe  akisalimiana na baadhi ya viongozi baada ya kuwasili katika uzinduzi huo kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege Injini Suleiman Suleiman.27Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege Injini Suleiman Suleiman mara baada ya kuwasili katika uzinduzi huo.28Mwenyekiti wa kamati ya kudumu  bunge Miundo mbinu Peter Serukamba akizungumza na Naibu Waziri wa Uchukuzi Dr. Charles Tizeba huku  Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo Profesa Juma Kapuya akiwasilkiliza, kulia ni  na Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya Ndege Injinia Suleiman Suleiman na  kushoto ni  Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa.29Wafanya kazi wa kampuni zinazojenga uwanja huo wakiserebuka na muziki wa Msondo30Baadhi ya wafanyakazi mbalimbali wa uwanja wa ndege wakiwa katika hafla hiyo ya uzinduzi.31Wananchi wamejitokeza kwa wingi katika uzinduzi huo.32Mwanamuziki Diamond Platnum akifanya vitu vyake katika uzinduzi huo.35Naibu Waziri wa Uchukuzi Dr. Charles Tizeba akizungumza na Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya Ndege Injinia Suleiman Suleiman na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Meck Sadik36Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya viwanja vya Ndege wakiwa katika hafla hiyo.37Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya Ndege Injinia Suleiman Suleiman akizungumza katika uzinduzi huo39Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi huo40Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo ya ujenzi wa uwanja huo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya Ndege Injinia Suleiman Suleiman42Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya Ndege Injinia Suleiman Suleiman akitoa maelezo kwa Rais Jakaya Kikwete43Rais Jakaya Kikwete akipiga picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi huo.4445Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya Ndege Injinia Suleiman Suleiman mara baada uzinduzi huo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...