Monday, April 14, 2014

SEMINA ZA WABUNGE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA NA ALAT ZAENDELEA MJINI DODOMA

 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya  akichangia maoni yake mjini Dodoma wa kuboresha  mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Moses Machali akichangia maoni yake mjini Dodoma wa kuboresha  mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mustapha Akunaay akichangia maoni yake mjini Dodoma  katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. 
 Profesa Suleiman Ngware akitoa mada kuhusu Katiba na Serikali za Mitaa mjini Dodoma wakati wa semina ya wajumbe wa Bunge la Katiba ya kuwaelisha juu ya  umuhimu wa kuiweka Serikali za Mitaa katika Katiba mpya.

 Meya wa Jiji la Dar es salaaam Dkt. Didas Massaburi akitoa mada kuhusu Katiba na Serikali za Mitaa mjini Dodoma wakati wa semina ya wajumbe wa Bunge la Katiba ya kuwaelisha juu ya  umuhimu wa kuiweka Serikali za Mitaa katika Katiba mpya. 
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Shamin Khan akichangia maoni yake mjini Dodoma wa kuboresha  mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Siti Abbas Ali akichangia maoni yake  mjini Dodoma  katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Hawa Ghasia akifungua semina ya siku moja leo mjini Dodoma ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba waliokuwa wakijadili ukuhusu  Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Baadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika semina mjini Dodoma kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Meya wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba(kulia) leo mjini Dodoma kabla ya   semina ya wajumbe hao iliyoandaliwa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya  akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wenzake leo mjini Dodoma juu ya  kuboresha  mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...