Thursday, April 24, 2014

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Akutana na Uongozi wa Wizara ya Habari,utalii,Utamaduni na Michezo Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,utalii,Utamaduni na Michezo, katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini  Zanzibar jioni jana,
Katibu Mkuu Wizara ya  Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo, Dkt. Ali Mwinyikai,akiwasilisha mpango wa utekelezaji wa mpamgo wa kazi  wa Wizara hiyo katika kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika kikao kilichofanyika jana jioni ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi (kushoto).Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

No comments:

UJUMBE WA MAAFISA KUTOKA CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA MISRI WATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA TANZANIA

Leo, tarehe 23/04/2026 Makumbusho ya Taifa la Tanzania imepokea ugeni maalum kutoka Chuo cha Kijeshi Misri (Egypt War College) walioko katik...