Thursday, April 03, 2014

MANISPAA YA KINONDONI YANUNUA MAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779 KWA KUTUMIA VYANZO VYA MAPATO YA NDANI

 Magari Mapya aina ya Toyota  Yakiwa Manispaa ya Kinondoni mara baada ya kukabidhiwa.
 Mwonekano wa moja ya gari mpya zilizonunuliwa na manispaa ya Kinondoni
 Gari mpya aina ya Landcruiser ikiwa Ofisi ya manispaa ya Kinondoni
 Mstahiki Meya Yussuph Mwenda akiongea na Vyombo vya habari  mara baada ya kukabidhiwa magari hayo

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...