Tuesday, April 22, 2014

Ona Picha mbalimbali za Kikao Cha Kamati ya Uongozi ya bunge maalum la katiba kilichokutana mjini dodoma chini ya mwenyekiti wa bunge Samwel Sitta

Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ys Bunge la katiba Pande Ameir Kificho akitoa mchango wake wakati wa kikao cha kamati hiyo mjini Dodoma kilichokua kikijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinsi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni
Mwenyekiy=ti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta akiongoza kikao cha kamati ya uongozi mjini Dodoma

Wajumbe wa kamati ysa uongozi ya bunge maalum ya katiba wakiwa katika kikao cha kamati hiyo mjini Dodoma kilichokua kikijadili mambo mbalimbali likiwemo jinsi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni. Picha na Bunge Maalum la Katiba

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...