Monday, April 14, 2014

BOMU LALIPUKA ARUSHA KWENYE BAR YA ARUSHA NIGHT PARK NA KUJERUHI WATU WENGI

Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana.
Majeruhi baada ya bomu kulipuka.
Kijana ambaye hakufahamika jina lake amepata majeraha makubwa mguuni baada ya kulipukiwa na bomu.
Kijana akiwa hoi amelala chini katika sakata hilo.

Kuna taarifa kwamba Arusha kuna watu wamerusha bomu la mkono kweny bar maarufu inayoitwa Arusha Night Park au Matako Bar iliyopo eneo la Mianzini inasemekana watu wawili wamepoteza maisha ilamajeruhi ni wengi sana tukio hili ni ndani ya nusu saa iliyopita.

Watu kibao walikuwa wanacheki mpira unaambiwa watu wamekatika mikono yaani balaa majeruh ni wengi mno........ Inarepotiwa Hakuna aliyepoteza maisha kuna majeruhi 8 mmoja ndo kavunjika mguu wengine wameumia sehemu za miguuni.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...