Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadaye kufanya mazungumzo na Waziri wa Nishati na Mabadiliko ya tabia Nchi wa Uingereza Mhe Greg Baker Ikulu jijini Dar es salaam jana April 15, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Waziri wa Nishati na Mabadiliko ya tabia Nchi wa Uingereza Mhe Greg Baker Ikulu jijini Dar es salaam jana April 15, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu katika Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam jana April 15, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu katika Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) baada ya kulifungua katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam jana April 15, 2014.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment