Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
3 comments:
sikatai hoja wa ushindani. katu sifanyi hivyo. ila ninaomba msaada wa mawazo.
kwa akili yangu nadhani hawa wanaodhibiwa wameleta nchini bidhaa feki. yaani bandia. nina wazo kuwa kunabidhaa zingine ufeki wake ni hatarishi kama dawa, vyakula na pengine vifaa vya umeme kama nyaya, majenereta na mita nakadhalika. hivi naviweka katika kundi hatarishi.
lakini pia nadhani kuna bidhaa zingine sio hatarishi kiivyo. kwa mfano mabakuli mabirika na vitu vya namna hiyo. au tuTV hivi. kumbuka baadhi ya vitu kama tv tushavinunua sana na tunavitumia bila shida hata leo hii kabla ya wazee wa fair competition.
mie nilidhani vitu visivyo hatarishi wagawiwe watu wasio na uwezo wa kuvipata. watumie mtazamo uleule wa kugawa samaki walioporwa kutoka kwa maharamia. kwa mfano bibi yangu vingemfaa sana hivyo vifaa vya kupikia.
Hi there! Do you use Twitter? I'd like to follow you if that would be okay. I'm absolutely enjoying your blog and look forward
to new posts.
Here is my web blog :: Reviewing gynexin alpha - Will be the method actually effective
What a stuff of un-ambiguity and preserveness of precious experience about
unpredicted emotions.
Look at my webpage; man busts and also medications/pills
Post a Comment