Wednesday, May 18, 2016

SPIKA ALIPOKUTANA NA KAMISHINA MKUU WA SEKRETARIETI YA MAADILI JAJI KAGANDA

gai1Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na  Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya MaadiliJajiSalome Kaganda wakati alipofanya mazungumzo  naye ofisini kwake Mjini Dodoma.
gai1Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na  Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya MaadiliJajiSalome Kaganda wakati alipofanya mazungumzo  naye ofisini kwake Mjini Dodoma.
gai2Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya MaadiliJajiSalome Kaganda ofisini kwake Mjini Dodoma.
gai4Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Simon Msanjila ofisini kwake Mjini Dodoma.
gai3Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza  Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya MaadiliJaji Salome Kaganda wakati alipozungumza naye ofisini kwake Mjini Dodoma.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...