Monday, May 02, 2016

NHC ILIVYOSHIRIKI MEI MOSI DAR, DODOMA

Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na baadhi ya waheshimiwa wengine wakisimama Jukwaa kuu wakati wakipokea rasmi maandamano ya Wafanyakazi wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam,  Mei 1, 2016.

Mwenyekiti wa TAMICO akiwa na wafanyakazi wengine wa NHC katika kilele hicho cha maadhimisho cha siku ya wafanyakazi duniani.

Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa, wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi Paul Makonda (hayupo pichani), katika kilele cha Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika jijini Dar es Salaam.

  Wafanyakazi wakiwa katika maandamano kando mwa gari lililokuwa limebeba vifaa vya maonyesho vya Shirika la nyumba la Taifa.

 Wafanyakazi wa NHC wakiwa katika maandamano wakitoka baada ya kumalizika kwa sherehe za Sikukuu ya Mei Mosi iliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.

Umati wa wafanyakazi ukiwa unafuatilia matukio ya kilele cha Mei Mosi

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...