Saturday, May 07, 2016

AMOS MAKALLA AZINDUA MASHINDANO YA UMISSETA COPA COCA COLA MKOANI MBEYA

co1
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akihutubia wadau wa michezo na wanafunzi wakati wa Uzinduzi wa mashindano ua UMISSETA ambayo mwaka huu yamedhaminiwa na kampuni ya Coca Cola.Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa Sokoine ambapo kulifanyika michezo mbalimbali na burudani za kila aina zilikuwepo.
co2Meneja wa Kiwanda cha Coca Cola  tawi la Mbeya, Gary pay (kulia) akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla ndani ya Uwanja wa Sokoine Mbeya kwenye uzinduzi wa mashindano ya UMISSETA 
co3Mkuu wa Mkoa Amos Makalla akigagua moja ya timu wakati wa uzinduzi wa michuano hiyo kwenye uwanja wa mpira wa Sokoine.
co4Wanafunzi kutoka shule mbalimbali walihudhuria katika uzinduzi hyuo wa mashindano ya UMISSETA wakiwa katika uwanja wa Sokoine.
co5Burudani za muziki pia zilikuwepo kama kinavyoonekana kikundi hiki kikitumuiza katika uzinduzi huo.
co6Mkuu wa Mkoa Amos Makalla akipiga mpira kuashiria uzinduzi wa mashindano ya UMISSETA  mkoani humo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...