Friday, May 06, 2016

YALIYOJIRI PATI MCHAPALO YA MENEJIMENTI YA NHC

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Utawala na Uendeshaji wa Mikoa na Operesheni, Raymond Mndolwa kwenye Pati Mchapalo (Cocktail Party) iliyofanyika jana jioni na kuwakutanisha mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na Wakurugenzi baada ya kikao kazi kinachomalizika leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na mameneja kwenye Pati Mchapalo (Cocktail Party) iliyofanyika jana jioni na kuwakutanisha mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na Wakurugenzi baada ya kikao kazi kinachomalizika leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na mameneja (hawapo pichani) kwenye Pati Mchapalo (Cocktail Party) iliyofanyika jana jioni na kuwakutanisha mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na Wakurugenzi baada ya kikao kazi kinachomalizika leo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na mameneja (hawapo pichani) kwenye Pati Mchapalo (Cocktail Party) iliyofanyika jana jioni na kuwakutanisha mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na Wakurugenzi baada ya kikao kazi kinachomalizika leo.
Mkurugenzi wa Utawala na Uendeshaji wa Mikoa na Operesheni, Raymond Mndolwa akizungumza na mameneja (hawapo pichani) kwenye Pati Mchapalo (Cocktail Party) iliyofanyika jana jioni na kuwakutanisha mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na Wakurugenzi baada ya kikao kazi kinachomalizika leo.
Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Utawala na Uendeshaji wa Mikoa na Operesheni, Raymond Mndolwa kwenye Pati Mchapalo (Cocktail Party) iliyofanyika jana jioni na kuwakutanisha mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na Wakurugenzi baada ya kikao kazi kinachomalizika leo.
 Mameneja wa NHC, Itandula Gambalagi, James Kisarika, Muungano Saguya na Robert Kintu wakijadiliana jambo kwenye pati mchapalo hiyo.
Meneja wa NHC Katavi, Nehemia Msigwa na Meneja wa Lindi, Mussa Patrick Kamendu wakijadiliana jambokwenye pati mcapalo hiyo.
Mkurugenzi wa Hazina na Uendelezaji Biashara wa NHC, David Misonge Shambwe akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Ubunifu, Issack Peter na Meneja wa NHC mkoa wa Kagera, Deo Batakanwa kwenye pati mchapalo hiyo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...