Thursday, May 12, 2016

ETHELDREDER KOPPA AIBUKA MSHINDI WA TUZO YA MWANAMKE MGUNDUZI BORA KIJANA WA CHINI YA UMRI WA MIAKA 30 KATIKA SEKTA YA UJENZI

Mshindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi bora kijana wa chini ya umri wa miaka 30 katika sekta ya ujenzi, Etheldreder Koppa, ambaye pia ni Meneja Miradi Msaidizi wa NHC akilakiwa kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam na Msimamizi wa Miradi wa NHC, Timon Manongi. Tukio lililompa ushindi lilifanyika kwenye tafrija mchapalo ya jioni siku ya Jumanne (Mei 10, 2016 likiwa katika ukumbi mmoja na maonyesho ya sekta ya ujenzi ya Afrika kwenye ukumbi wa kimataifa wa Gallagher Convention Centre, Johannesburg, Afrika Kusini. Tuzo hizo za sekta ya ujenzi huibua vipaji bora na haba vya wanawake katika ujenzi wa nyumba na sekta nzima ya ujenzi na kutambua umuhimu wa wanawake katika sekta ya ujenzi.  

Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi bora kijana wa chini ya umri wa miaka 30 katika sekta ya ujenzi ambayo Etheldreder Koppa ameshinda.
Arafa Mohammed na Magreth Ezekiel wa NHC wakifurahia tuzo hiyo jana jioni kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam.
Mshindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi bora kijana wa chini ya umri wa miaka 30 katika sekta ya ujenzi, Etheldreder Koppa, ambaye pia ni Meneja Miradi Msaidizi wa NHC akilakiwa na kukabidhiwa shada la maua, kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam, Msimamizi wa Miradi wa NHC, Timon Manongi na Veronica Mtemi wa NHC. Tukio lililompa ushindi lilifanyika kwenye tafrija mchapalo ya jioni siku ya Jumanne (Mei 10, 2016 likiwa katika ukumbi mmoja na maonyesho ya sekta ya ujenzi ya Afrika kwenye ukumbi wa kimataifa wa Gallagher Convention Centre, Johannesburg, Afrika Kusini. Tuzo hizo za sekta ya ujenzi huibua vipaji bora na haba vya wanawake katika ujenzi wa nyumba na sekta nzima ya ujenzi na kutambua umuhimu wa wanawake katika sekta ya ujenzi.  
Etheldreder Koppa, ambaye pia ni Meneja Miradi Msaidizi wa NHC katika picha ya pamoja na wafanyakazi wenzake wa NHC kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam. Tukio lililompa ushindi lilifanyika kwenye tafrija mchapalo ya jioni siku ya Jumanne (Mei 10, 2016 likiwa katika ukumbi mmoja na maonyesho ya sekta ya ujenzi ya Afrika kwenye ukumbi wa kimataifa wa Gallagher Convention Centre, Johannesburg, Afrika Kusini. 
Etheldreder Koppa, ambaye pia ni Meneja Miradi Msaidizi wa NHC akifurahia tuzo yake wakati alipowasili nchini akitokea Afrika Kusini jana jioni akiwa kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam.

Meneja Miradi Msaidizi wa NHC, Etheldreder Koppa ameibuka Mshindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi bora kijana wa chini ya umri wa miaka 30 katika sekta ya ujenzi katika mashindano yaliyowashirikisha wanawake bora katika sekta ya ujenzi barani Afrika kwenye makundi mbalimbali.  

Ethel aliibuka mshindi katika tukio lilifanyika kwenye tafrija mchapalo ya jioni siku ya Jumanne (Mei 10, 2016 likiwa katika ukumbi mmoja na maonyesho ya sekta ya ujenzi ya Afrika kwenye ukumbi wa kimataifa wa Gallagher Convention Centre, Johannesburg, Afrika Kusini. Tuzo hizo za sekta ya ujenzi huibua vipaji bora na haba vya wanawake katika ujenzi wa nyumba na sekta nzima ya ujenzi na kutambua umuhimu wa wanawake katika sekta ya ujenzi.  

Tuzo ya wanawake katika sekta ya ujenzi ni jukwaa lililojikita kutambua umahiri wa wanawake katika sekta pana zaidi ya Ujenzi barani Afrika.

Tuzo zimetambua wanawake wanaochochea ubunifu katika mazingira waliyopo na pia wale “New Starters”  – waliopo chini ya miaka 30 -  ambao wamejitambua na hivyo kutambulika kama wenye vipaji vya kuangalika katika sekta zao.

Tuzo zinazitambua pia taasisi ambazo zimepiga hatua katika kuendeleza vipaji na majukumu ya wanawake kupitia program mbalimbali za mafunzo pamoja na kuonyesha nia zao za kuendeleza ustadi wa wanawake katika sekta.

Sherehe za mwaka huu za utoaji tuzo zilihudhuriwa na watendaji wakuu waandamizi, Watunga sera wenye ushawishi mkubwa na wagavi wa sekta ya ujenzi, saruji na ujenzi mkubwa.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...