Wafanyakazi wa TBL Dar es salaam katika maandamano wakiandamana wakati wa maadhimisho ya sherehe za wafanyakazi Duniani Mei Mosi zilizofanyika jana Duniani kote Kitaifa sherehe hizo zimefanyika mkoani Dodoma huku Rais Dk. John Pombe Magufuli akiongoza sherehe hizo.
Wafanyakazi wa TBL mkoani Arusha katika maandamano wakiandamana wakati wa maadhimisho ya sherehe za wafanyakazi Duniani Mei Mosi zilizofanyika jana
Wafanyakazi wa TBL mkoani Mbeya katika maandamano wakiandamana wakati wa maadhimisho ya sherehe za wafanyakazi Duniani Mei Mosi zilizofanyika jana
Wafanyakazi wa TBL mkoani Mbeya katika maandamano wakiandamana wakati wa maadhimisho ya sherehe za wafanyakazi Duniani Mei Mosi zilizofanyika jana
Wafanyakazi wa TBL wakiwa katika sherehe hizo mkoani Mwanza
No comments:
Post a Comment