Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikabidhi tuzo kwa Mshindi wa Jumla wa michuano ya wazi ya NHC Lugalo, Michael Obare aliyejinyakulia jokofu kubwa na kombe. Michuano ilifanyika jana na juzi katika viwanja vya golf vya Lugalo jini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikabidhiwa tuzo ya udhamini na kiongozi wa klabu hiyo ya Golfu. Michuano ya Golfu hufanyika mara moja kila mwaka kwa madhumuni ya kuenzi mchango wa kimichezo wa Mkuu wa Majeshi (Mstaafu) Jenerali George Waitara kwa kuasisi uwanja wa gofu wa Lugalo golf club.

Mashindano ya NHC Lugalo Golf ya yakiendelea katika Viwanja vya Lugalo Golf. Mashindano ya siku mbili yaliyofanyika juzi na jana. Michuano ya Golfu hufanyika mara moja kila mwaka kwa madhumuni ya kuenzi mchango wa kimichezo wa Mkuu wa Majeshi (Mstaafu) Jenerali George Waitara kwa kuasisi uwanja wa gofu wa Lugalo golf club.Mashindano ya NHC Lugalo Golf ya yakiendelea katika Viwanja vya Lugalo Golf. Mashindano ya siku mbili yaliyofanyika juzi na jana.
Mashindano ya NHC Lugalo Golf ya yakiendelea katika Viwanja vya Lugalo Golf. Mashindano ya siku mbili yaliyofanyika juzi na jana.

Tuzo mbalimbali za michuano ya Golf ya NHC zikiwa zimewekwa tayari kwaajili ya kuwakabidhi washindi wa michuano hiyo iliyofanyika jana na juzi katika viwanja vya golf vya Lugalo jini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiweka saini katika kitabu cha wageni kabla ya kuwakabidhi washindi wa michuano hiyo iliyofanyika jana na juzi katika viwanja vya golf vya Lugalo jini Dar es Salaam.
Timu ya Mauzo ya Shirika la Nyumba la Taifa katika picha ya pamoja kwenye viwanja vya golf vya Lugalo jini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na washiriki wa michuano ya wazi ya NHC Lugalo kabla ya kuwakabidhi washindi wa michuano hiyo tuzo zao ambapo pia alizungumzia kuhusiana na mradi wa Kitovu cha mji cha NHC Kawe na namna ambavyo viwanja hivyo vitafaidika na mradi huo unaotarajiwa kuwa na idadi kubwa ya wakazi watarajiwa. Michuano ilifanyika jana na juzi katika viwanja vya golf vya Lugalo jini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikabidhi tuzo kwa mmoja wa washiriki wa michuano ya wazi ya NHC Lugalo ambapo pia alizungumzia kuhusiana na mradi wa Kitovu cha mji cha NHC Kawe na namna ambavyo viwanja hivyo vitafaidika na mradi huo unaotarajiwa kuwa na idadi kubwa ya wakazi watarajiwa. Michuano ilifanyika jana na juzi katika viwanja vya golf vya Lugalo jini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment