Thursday, May 05, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA ALEX MSAMA MKURUGENZI WA MSAMA PROMOTION

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma May 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MSAM4Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa  Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma May 5, 2016. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MSAMA3Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge wa Urambo, Magreth Sitta (katikati) kwenye viwanja vya  Bunge mjini Dodoma May 5, 2016. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...