Saturday, May 28, 2016

KONGAMANO LA KUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KUFANYIKA KESHO

 Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi na rais wa kef mohamed kamilagwa(kushoto) akimuonesha imam qasim ibn ali khan baadhi ya vivutio vilivyopo nchini kupitia jarida
 Imam Qasim Ibn Ali Khan (katikati) akibadilishana mawili matatu kwaajili ya kongamano la kukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani, kulia kwake ni mwenyekiti wa kamati ya maandalizi na rais wa kef mohamed kamilagwa na kushoto kwake ni mjumbe wa kamati hiyo Juma Nchia
 Imam Qasim Ibn Ali Khan pamoja na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya kongamano la kuukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani mohamed kamilagwa.
Mke wa imam hasaina m.khan (wakwanza kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwl. j.nyerere akiwa na baadhi ya wanakamati waliojitokeza kumpokea alipowasili nchini tanzania. 
 Imam Qasim Ibn Ali Khankutoka usa akiwa pamoja na baadhi  ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya kongamano la nane la kukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani mara baaada ya kuwasili nchini tanzania

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...