Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya TBL, Kevin O'Flaherty hati ya makabidhiano ya mradi wa kuyaunga kimawasiliano ya kisasa matawi ya kampuni ya bia Tanzania (TBL) jana jijini Dar es Salam, hafla hiyo iliyofanyika ofisi za TBL Ilala jijini Dar es Salaam
.
Picha ya pamoja kati ya maofisa wa kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) pamoja na maofisa wa kampuni ya TBL mara baada ya hafla ya makabidhiano ya mradi wa kuyaunga kimawasiliano ya kisasa matawi ya kampuni ya Bia Tanzania (TBL) jana jijini Dar es Salam, hafla hiyo ilifanyika ofisi za TBL Ilala jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya TBL, Kevin O'Flaherty akizungumza wakati wa makabidhiano ya mradi wa kuyaunga kimawasiliano ya kisasa matawi ya kampuni ya bia Tanzania (TBL) jana jijini Dar es Salam, kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya TBL, Kevin O'Flaherty akiwa katika hafla hiyo iliyofanyika ofisi za TBL Ilala jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment