Tuesday, May 05, 2015

Ziara ya Mkurugenzi wa Bodi NHC mkoani Lindi yashuhudia maendeleo makubwa ya miradi

Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Lindi, Mussa Patrick Kamendu akitoa maelezo ya namna mradi wa nyumba za gharama nafuu Mtanda Mkoani Lindi unavyoendelea wakati wa ziara ya Mkurugenzi wa Bodi, Subira Mchumo aliyoifanya kwa niaba ya wakurugenzi wengine wa Bodi katika miradi ya ujenzi ya mikoa ya Lindi na Mtwara ambapo pamoja na mambo mengine amesifu kasi ya ujezi wa nyumba hizo unaozingatia viwango na muda na akawataka wafanyakazi wa NHC kuchapa kazi ili kufikia malengo yao waliyojiwekea. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa NHC. 
 Mkurugenzi wa Bodi, Subira Mchumo akifuatilia kwa kina taarifa ya mkoa kutoka kwa Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Lindi, Mussa Patrick Kamendu wakati wa ziara aliyoifanya kwa niaba ya wakurugenzi wengine wa Bodi katika miradi ya ujenzi ya mikoa ya Lindi na Mtwara. 

Mkurugenzi wa Fedha wa NHC akifuatilia kwa kina taarifa ya mkoa kutoka kwa Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Lindi, Mussa Patrick Kamendu wakati wa ziara ya Mkurugenzi wa Bodi aliyoifanya kwa niaba ya wakurugenzi wengine wa Bodi katika miradi ya ujenzi ya mikoa ya Lindi na Mtwara. 

Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Lindi, Mussa Patrick Kamendu akitoa maelezo ya namna mradi wa nyumba za gharama nafuu Mtanda Mkoani Lindi unavyoendelea wakati wa ziara ya Mkurugenzi wa Bodi, Subira Mchumo aliyoifanya kwa niaba ya wakurugenzi wengine wa Bodi katika miradi ya ujenzi ya mikoa ya Lindi na Mtwara.

Baadhi ya nyumba za mradi wa nyumba za gharama nafuu Mtanda Mkoani Lindi, zinavyoonekana pichani.
Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Lindi, Mussa Patrick Kamendu akisoma taarifa ya utendaji ya mkoa wa Lindi wakati wa ziara ya Mkurugenzi wa Bodi, Subira Mchumo aliyoifanya kwa niaba ya wakurugenzi wengine wa Bodi katika miradi ya ujenzi ya mikoa ya Lindi na Mtwara. 

Mkurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akielekeza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya kwenye eneo la Mitwero , Lindi kutakakojengwa nyumba za gharama nafuu 100.
Nyumba za NHC Ruangwa zilizojengwa takribani miaka minane iliyopita, ni mojawapo ya nyumba za NHC mkoani Lindi, wilaya ya Ruangwa iko takribani kilomita 140 kutoka manispaa ya Lindi.

No comments:

WAZIRI BASHUNGWA AZINDUA KAMPENI YA ‘PERFOM AND INFORM’

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa, akizungumza katika Kikao kazi na Wahariri wa vyombo vya Habari kilichofanyika leo Januari ...