Saturday, May 09, 2015

WORLD LUNG FOUNDATION YAZINDUA MRADI WA ELIMU KWA MTANDAO INAYOSAIDIA KUOKOA MAISHA YA AKINA MAMA NA WATOTO

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid, akizindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World Lung Foundation (WLF) la hapa nchini, ambapo vituo vya Afya 13 vinanufaika na mradi huo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid (wapili kulia), akiwa na baadhi ya watendaji wa Shirika la World Lung Foundation (WLF) la hapa nchini wakishudia uzinduzi wa mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na shirika hilo katika vituo vya Afya 13.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid (katikati), akizungumza na waandishi wahahabari mara baada ya kuzindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World Lung Foundation (WLF) la hapa nchini, ambapo vituo vya Afya 13 vinanufaika na mradi huo.






No comments:

UJIRANI MWEMA KATI YA NGORONGORO NA VIJIJI VYA JIRANI WAZIDI KUIMARISHWA

  Na Mwandishi Wetu Naibu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro anayesimamia Uhifadhi, Utalii na Maendeleo ya Jamii, Joas...