Monday, May 18, 2015

MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA PPRA YAZINDULIWA JIJINI DAR LEO

 Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha (fedha za nje na madeni).Bi Dorothy Mwanyika akizindua maadhimisho ya miaka kumi ya  Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma (PPRA) ilioanzishwa mwaka 2015  katika siku moja ya semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya umma,ambayo inafanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar.
 Balozi,Mwenyekiti wa bodi ya  Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma (PPRA),Mh.Martin Lumbanga akifafanua jambo kwa 
baadhi ya Wadau wa habari (hawapo pichani),kwenye semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya umma,ambayo inafanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar ikiwa pia leo Mei 18-20 inaanza kuadhimisha miaka kumi ya mamlaka hiyo  tangu kuanzishwa kwake mnamo 2015 .
 Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma (PPRA),Dkt. Laurent Shirima akizungumza mbele ya baadhi ya Wadau wa habari (hawapo pichani),kwenye semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya umma,ambayo inafanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar ikiwa pia lei Mei 18-20 inaanza kuadhimisha miaka kumi ya mamlaka hiyo ilioanzishwa mwaka 2015 .
  Baadhi ya Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma (PPRA)


 Baadhi ya Wadau wa habari  wakiwa kwenye semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya umma,ambayo inafanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar.
Baadhi ya Wadau wa habari  wakiwa kwenye semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya umma,ambayo inafanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar.
Baadhi ya Wadau wa habari wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha (fedha za nje na madeni).Bi Dorothy Mwanyika (wa tano kulia) na baadhi ya viongozi wakuu wa Mamlaka hiyo kwenye semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya umma,ambayo inafanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar.
Baadhi ya Wafanyakazi wa PPRA wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha (fedha za nje na madeni).Bi Dorothy Mwanyika (wa tano kulia) na baadhi ya viongozi wakuu wa Mamlaka hiyo kwenye semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya umma,ambayo inafanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar.

No comments:

TANAPA YAMPONGEZA SIMBU; YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NAE KUTANGAZA HIFADHI ZA TAIFA KUPITIA MCHEZO WA RIADHA

Na. Philipo Hassan, Arusha Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA, CPA Musa Nassoro Kuji, amempongeza rasmi Sajini Taji Alphonce Simbu, bingwa wa D...